Habari za Punde

Rais Magufuli apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Japan pamoja na Sudan

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara mara baada ya kufanya nae Mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Kamal Ismail Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Sudan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara mara baada ya kufanya nae Mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu ) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.