Thursday, December 17, 2015

Tunatakiwa Kuwajali Wanyama Wanapopata Matatizo

Daktari wa Wanyama Zanzibar Dr Karim akimpatia huduma ya kwanza paka ambaye ameponga kwa bahati mbaya na mwananchi wakati akiondoa gari yake katika maeneo ya Mkongwe na kufanya jitihada kumtafuta Daktari ili kuweza kunusuru maisha yake. akipata huduma hiyo kwa kumchoma shindano.  

Daktari wa Wanyama Zanzibar Dr Karim,  akitowa maelezo kwa Mwananchi ambaye amemgonga paka kwa bahati mbaya wakati akiondoa gari yake katika maeneo ya mji mkongwe wa Zanzibar na kufanya jitihadi kumtafuta daktari wa wanyama ili kuokoa uhai wake. na kugundulika kuwa amevunjika kiuno.