Wafanyakazi wa kampuni ya Zantel wakati wa Sherehe ya
kufunga mwaka iliyofanyika mwisho wa wiki hii katika hotel ya Double Tree
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akitoa
hotuba fupi ya kuzindua sherehe ya kufunga mwaka kwa wafanyakazi wa Zantel
iliyofanyika mwisho wa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel, Benoit Janin akitoa
hotuba fupi ya kuzindua sherehe ya kufunga mwaka kwa wafanyakazi wa Zantel
iliyofanyika mwisho wa wiki.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Zantel, Bertrant Lacroix
akijihudumia chakula wakati wa sherehe ya kufunga mwaka ya Zantel. Anayemfatia
ni Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Progress Chissenga
Mkurugenzi Mtendaji wa Zantel akibadilishana mawazo na
baadhi ya wafanyakazi wakati wa sherehe ya kufunga mwaka kwa Zantel.
Mshauri wa Masuala ya serikali wa Zantel kwa upande wa
Zanzibar akizungumza wakati wa sherehe ya wafanyakazi iliyofanyika Zanzibar mwishoni
mwa wiki katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort.
No comments:
Post a Comment