Habari za Punde

Zanzibar leo inavyowajibika ksiwani Pemba


 AFISA Uhusiano mstaafu wa Shirika la Umeme Zanzibar Tawi la Pemba, Faki Othman Sharif akizungumza na waandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibarleo Ofisi ya Pemba, katika ofisi za shirika hilo Chake Chake Pemba, baada ya kumaliza muda wake wa utumishi kwa kuwashukuru wafanyakazi wa shirika hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAANDISHI wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar-Zanzibarleo kisiwani Pemba, wakiwa katika harakati za uchapaji wa kazi zao, baada ya kurudi kutafuta habari zao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.