Habari za Punde

Meli ya Kitalii Yafunga Gati Bandari yac Zenj.

Meli ya Kitalii ya Silver Cluod ikitokea Nchi Afrika ya Kusini na kupitia Kenya na kumalizia safari yao katika Kisiwa cha Zanzibar ikiwa katika bandari ya Zanzibar ikifunga gati na watalii wake kutembelea sehemu za historia ya Zanzibar kwa Siku moja ikiwa na Watalii karibu mia tatu. 
Meli ya Kitalii Ikiwa katika bandari ya Zanzibar baada ya kuwasili na Watalii waliofika kuitembelea Zanzibar na kujionea sehemu mbalimbali za vivutio vya utalii na historia ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.