Habari za Punde

Usafiri hatarishi kisiwani Pemba

TAASISI mbali mbali zinapaswa kuwa makini nchini, zinaposafirisha vifaa vyao barabarani ili visije vikasababisha madhara kwa wengine, pichani gari la Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Pemba likiwa limepakia pipa za lami bila ya kuzifunga, jambo ambalo linaweza kuwa hatari kwa wengine.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.