Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union,Salim Amiri akimkabidhi fedha kiasi cha milioni mbili (2,000,000) Nahodha wa timu hiyo,Hamis Mbwana “Kibacha” zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa kiwanda cha Unga cha Pembe Tanga wanaoshuhudia ni viongozi wa timu hiyo makabidhiano hayo yalifanyika viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mara baada ya kumalizika mazoezi ya jana jioni.
Nahodha wa timu ya Coastal Union, Hamis Mbwana“Kibacha” akionyesha juu fedha alizizokabidhiwa milioni mbili (2,000,000) kama motisha baada ya kuifunga timu ya Yanga zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa kiwanda cha Unga cha Pembe Tanga wanaoshuhudia ni viongozi wa timu

hiyo makabidhiano hayo yalifanyika viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mara baada ya kumalizika mazoezi ya jana jioni.
No comments:
Post a Comment