Habari za Punde

Makamu wa Rais Atembelea Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba leo.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 02, 2016 wakati Makamu wa Rais alipotembelea katika Ofisi hiyo (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.