Habari za Punde

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Makungu Azungumza na Waandishi wa Habari Maadhimisho ya Juma la Sheria Zanzibar.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Vuga, Mjini Zanzibar, kuhusiana  na maadhimisho ya  wiki ya Sheria Zanzibar iliyoanza tarehe 5 mwezi huu.
Rais wa Wanasheria Zanzibar Omar Saidi akitoa ufafanuzi kuhusu jumuiya hiyo inavyotoa huduma za kisheria kwa wananchi kwenye mkutano ulioitishwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar uliozungumzia wiki ya sheria Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari walioshiriki mazungumzo ya Jaji Mkuu wa Zanzibar kuhusu wiki ya Sheria Zanzibar  inayoanza tarehe 5 mwezi huu wakisikiliza kwa makini mazungumzo hayo.
Waheshimiwa Mahakimu katika Mahakama ya Vuga Mjini Zanzibar Sabra Ali Mohd akielezea changamoto zinazoikabili kesi za watoto kwenye mkutano huo.
Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar.

1 comment:

  1. Nani kasema zanzibar kuna haki au sheria acheni mchezo wa kuigiza nyie washabiki na wana michezo wa ccm.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.