Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Akutana na Uongozi wa Benki ya CRDB na Benki ya POSTA Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki hiyo Dkt. Charles Kimei wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati  akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki hiyo Dkt. Charles Kimei wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam.kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati  akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.