Habari za Punde

Umarishaji wa Miundombinu ya Barabara Zenj

Gari ya Idara ya Utuzaji Barabara Zanzibar ikifanya kazi ya kuweka lami katika moja ya barabara za Unguja katika kuimarisha barabara hiyo kama walivyokuwa Wafanyakazi hawa wakiweka lami katika barabara ya Amani kwenda Kwerekwe ilikuwa imeharibika kwa mashimo katika eneo hilo na kuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.