Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia Akamilisha Ziara ya Siku Mbili Mkoani Tanga.

Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa Tanga Mwanakombo Mwakuru akimvisha Skafu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili Ofisi  ya CCM Mkoa wa Tanga kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama wa Chama hicho leo March 01, 2016. Makamu wa Rais  amekamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Tanga. Kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Mhe.Henri Shikifu.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vijana wa kikundi cha sanaa cha Tanga kwanza alipowasili Ofisi  ya CCM Mkoa wa Tanga kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama wa Chama hicho leo March 01, 2016. Makamu wa Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Tanga. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Tanga katika Ofisi ya CCM Nkoa Tanga. Makamu wa Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Tanga 
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao katika Ofisi ya CCM Mkoa Tanga. Makamu wa Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Tanga leo. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na vijana wa kikundi cha wasanii cha Tanga kwanza alipokua akiondoka katika Ofisi ya Chama cha  Mapinduzi CCM Mkoa Tanga baada ya kuzungumza na Wanachama wa Chama hicho leo March 01, 2016.  (Picha na OMR)      

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.