Habari za Punde

Walimu kusini Pemba wapatiwa miongozo ya masomo

Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari Madungu, Moh'd Shamte Omar, akiukaribisha Uongozi wa Wizara ya Elimu Zanzibar, kwa ajili ya kuzungumza na Walimu wa Mkoa wa Kusini Pemba, katika hafla ya kukabidhi miongozo ya masomo mbali mbali kwa walimu hao.
Mkuu wa divisheni ya utafiti kutoka Wizara ya Elimu Zanzibar Massoud Moh'd Salum, akizungumza na Walimu wa skuli mbali mbali za mkoa wa Kusini Pemba, kabla ya kukabidhi Miongozo ya masomo mbali mbali katika hafla iliyofanyika skuli ya Madungu Chake Chake .
 Ofisa mdhamini Wizara ya Elimu na mafunzo ya Amali Pemba, Salim Kitwana Sururu, akizungumza na Walimu katika hafla ya kukabidhi miongozo ya masomo mbali mbali itakayowasaidia Walimu hao katika ufundishaji wa masomo.

Katibu mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya amali, Khadija  Bakar Juma, akizungumza na Walimu wa skuli mbali mbali katika hafla ya kukabidhi miongozo ya masomo mbali mbali kutoka Wizara ya Elimu Zanzibar.

Picha na Hanifa Salim -Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.