Habari za Punde

Lions Club Mzizima Dar- es-Salaam Yatowa Msaada wa Maji na Vyakula Kambi ya Kipindupindu Zanzibar.Kiongozi wa Lions Club Zanzibar Ndg Javed Jafferji, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada kwa uongozi wa kambi ya kipindupindu kituo cha afya chumbuni Zanzibar.
Daktari Dhamana wa Kambi ya Kipindupindu Zanzibar Dk Fadhil akitowa shukrani kwa uongozi wa Lions Club Mzizima Dar-es-Salaam baada ya kukabidha msaada wao kwa ajili ya kambi hiyo inayotowa huduma kwa wananchi wanaolazwa katika kituo hicho.
Kiongozi wa Lions Club Mzizima Dar-es-Salaam Ndg Mustafa, akizungumza wakati wa kukabidhi msaada kwa Uongozi wa Kituo cha Kambi ya Kipindupindu baada ya hafla ya kukabidhi msaasa wa vyakula na maji kwa ajili ya matumizi ya kambi hiyo.  
Kiongozi wa Lions Club Mzizima Dar-es-Salaam wakikabidhi msaada kwa Daktari dhamana ya Kambi ya Kipindupindu ilioko Kituo cha Afya Chumbuni Zanziibar.
Viongozi Lions Club Mzizima Dar-es-Salaam yakabidhi msaada wa Maji, dawa na Vyakula kwa ajili ya Kambi ya Kipindupindu Chumbuni Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.