Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka Akamilisha Ziara Yake ya Kuimarisha Chama na Jumuiya Zake Moshi Mjini.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM (MNEC)Ndg Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasili katika Afisi za UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro  akiwa katika ziara yake Mkoano humo.
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM (MNEC) Ndg Shaka Hamdu Shaka akisaini kitabu cha wageni katika Afisi za CCM Mkoa wa Arusha akiwa katika ziara yake Mkoani humo ya Kikazi.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Ndg Yassin Lema akitowa maelezo kwa Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Shaka Hamdu Shaka wakati wa ziara yake mkoani humo
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM (MNEC)Ndg Shaka Hamdu Shaka,akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya zake wakati wa ziara yake katika Afisi za CCM Wilaya ya Moshi Mjini.
 AKISAINI KITABU CHA WAGENI NA KUPOKEA TAARIFA FUPI YA UVCCM W/MOSHI MJINI
  KAIMU KATIBU MKUU UVCCM (MNEC)SHAKA HAMDU SHAKA AKIPANDA MTI WA KUMBUKUMBU NJE YA OFISI YA CCM WILAYA YA MOSHI MJINI
 KAIMU KATIBU MKUU UVCCM (MNEC)SHAKA HAMDU SHAKA AKIKABIDHI ZAWADI KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA
  KAIMU KATIBU MKUU UVCCM (MNEC)SHAKA HAMDU SHAKA AKIKABIDHI ZAWADI KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA
 AKIOSHA GARI MARA BAADA YA KUZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA LA CAR WASH  TAWI LA MAKANGE LILILOPO KATA YA MAJENGO MAPYA
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Juma Raibu  ambaye ameshinda kesi ya Udiwani katika Kata ya Mbomambuzi, akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua sokoni Moshi mkoani Kilimanjaro, wakati wa mkutnao wa hadhara 
 :wananchi wakimshangilia KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA (MNEC)SHAKA H SHAKA
  KAIMU KATIBU MKUU UVCCM (MNEC)SHAKA HAMDU SHAKA AKITOA KADI 200 KWA WANACHAMA WA UVCCM NA CHIPKIZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA 
   ''NIWAPONGEZENI SANA KWA KUKIAMINI CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA UCHAGUZI MKUU NA NIWAHAKIKISHIE HAKUNA CHAMA IMARA TANZANIA ZAID YA CCM,KUPITIA RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFURI MPAKA KUFIKIA 2020 TUTAKUA TUMEONDOA NA KUTIMIZA AHADI ZETU  TULO WAAHIDI NDANI YA ILANI YA CCM''
AKIZUNGUMZA  KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA KAMDU SHAKA KATIKA MKUTANO WA HADHARA MAENEO YA PASUA KICHWA
KAIMU KATIBU MKUU UVCCM (MNEC)SHAKA HAMDU SHAKA AKIHUTUBIA UMATI WA WANANCHI WA KATA YA BOMA LA MBUZI KATIKA VIWANJA VYA PASUA SOKONI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.