Habari za Punde

Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed,Asoma Hutuba ya, Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017.

 

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Mwaka wa Fedha 2016/2017.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed akionesha Mkoba Wenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2016/2017. kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akiingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi akiongozwa na Askari wa Baraza.kwa ajili ya kuanza kwa Mkutano wa Bajeti. 
Spika akingia katika ukumbi wa Mkutano jioni leo kwa ajili ya kuwasilishwa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiongozwa na Askari wa Baraza kuingia katika Ukumbi wa Mkutano kuwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017.


Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiwa  katika Ukumbi wa Mkutano wakati ikiwasilishwa Bajeti ya Serikali na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed. kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Raya Issa Mselem na msaidizi wake wakifuatilia hutuba ya Bajeti ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mopango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed.jioni leo. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe Dk Khalid Salum Mohammed, akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.