Habari za Punde

ZGFCCM Yatowa Elimu ya Maradhi ya HIV, TB na Maralia kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Choum Kombo akifungua Semina ya siku moja ilioandaliwa na ZGFCCM kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Maradhi ya HIV, TB na Malaria, iliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza chukwani Zanzibar kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na kulia Makamu Mwenyekiti wa ZGFCCM fedha Ndg Hassan Ali Mzee. 
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo akifungua Semina hiyo ya Siku moja. 
Makamu Mwenyekiti wa ZGFCCM,Bi Benedicta Maganga
  akitowa muhtasari wa Global Fund na ZGFCCM wakati wa semina hiyo kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Wajumbe wakifuatilia  maelezo wakati wa semina hiyo.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibarwakifuatilia Mada inayowakilishwa katika Semina hiyo ya Siku Moja kuhusiana na Maradhi ya HIV, TB na Malaria,ilioandaliwa na Taasisi ya ZGFCCM.
Mkurugenzi wa Huduma za Hospital Zanzibar  Dk Mohammed Dahoma, akitowa mada kuhusiana na Maambukizo ya HIV, TB na Malaria, wakiti wa semina hiyo ilioandaliwana Taasisi ya ZGFCCM kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, kutowa elimu ya maradhi hayo iliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Zanzibar

Wajumbe wakifuatilia Mada ikiwasilishwa Wakati wa Semina hiyo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.