MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, June 26, 2016

Ubalozi Mdogo wa India Zanzibar Waadhimisha Siku ya YOGA.


Wa
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi T C.Barupal, akisalimiana na Mgeni rasmin wa Maadhimisho ya Siku ya YOGA yaliofanyika Zanzibar, Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akiwasili katika ukumbi wa ZanCinema Malindi Zanzibar, 
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe. Rashid Ali Juma akisalimiana na Maofisa wa Ubalozi wa India Zanzibar 
Balozi Mdogo wa India Zanzibar akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbuji Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya Siku ya YOGA iliofanyika katika ukumbi wa ZanCinema Malindi Zanzibar.