Tuesday, June 28, 2016

Matukio Mitaani Zenj.

Wafanyakazi wa Manispa wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiichukua gari iliyoegesha katika eneo haliruhusiwi kuegeshwa kwa magari katika eneo la barabara ya hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar , kama linavyoonekana picha gari hiyo ikipakiwa katika gari maalum kwa kazi hiyo.