Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, apokea nakala ya Ripoti ya Tume ya Uchaguzi NEC

Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, akipokea nakala ya Ripoti ya Tume ya Uchaguzi NEC, kutoka kwa Mratibu wa Tume hiyo Pemba, Dk, Mohammed Ali Jape , huko katika Ofisi ya Mkuu wa mkoa huo.

 Mratibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) DK, Mohammed Ali Jape,akieleza jambo kwa mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, kabla ya kukabidhi Ripoti ya  Tume hiyo kuhusiana na kumalizika kwa Uchaguzi mkuu wa mkwa 2015.
 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Serikali wa Mkoa huo na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi NEC, baada ya kupokea Ripoti ya Uchaguzi wa Tume hiyo.

Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akiinuwa Vitabu vya Ripoti ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) juu ya kukamilika kwa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.


Picha na Bakar Mussa-Zanzibarleo-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.