Habari za Punde

Wataalamu wa uwekaji Raba ya kukimbilia (Tartan) wajitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba

 WATAALAMU wa Uwekali wa Raba ya kukimbilia katika Uwanja wa Michezo Gombani Kisiwani Pemba, kutoka kampuni ya Gz Jrace Athletic Facilities Co.LtD, wakiwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, mara baada ya kufika kwao na kwenda kujitambulisha juu ya uwepo wao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Msafara wa wataalamu wa Uwekaji wa Raba ya kukimbilia katika Uwanja wa Michezo Gombani Kisiwani Pemba, kutoka kampuni ya Gz Jrace athletic Facilities Co.LtD, Wendy Tanjianli akizungumza juu ya uwepo wao katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, walipofika kujitambulisha uwepo wao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa uwekaji wa Raba ya kukimbilia katika uwanja wa michezo Gombani, kutoka kampuni ya Gz Jrace athletic Facilities Co.LtD ya nchini China, pamoja na watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)Mafundi wa uwekaji wa Tartan katika Kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba, wakiwa wamewasili Kisiwani humo tayari kwa kuanza kazi hiyo.

Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.