Habari za Punde

Ajali ya Basi la Mwendo Kasi na Gari Ndogo Makutano ya Barabara ya Jamuhuri na Morogoro Dar es Salaam leo Mchana.

Wananchi katika makutano ya barabara ya Jamuhuri na Morogoro road basi la mwendo kasi kugongwa na gari dogo wakati likiwa katika safari zake za kawaida likitokea kimara kuelekea kivukoni katikati ya jiji la Dar es Salaam, kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema derevya wa gari dogo alikuwa akizungumza na simu huku akiwa katika maeneo hayo akikatika katika barabara ya morogoro na kumkuta ajali hiyo ya kugonga basi hilo. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Basi la Mwendo Kasi likiwa limeumia mbele baada ya kugongwa na gari hiyo.


Gari dogo ambalo limeligonga basi la mwendo kasi katika barabara ya makutano ya mtaa wa jamuhuri na barabara ya morogoro road leo mchana.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.