Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azungumza na Kamati ya Uchangiagaji wa Fedha kwa Ajili ya Madawati.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiizindua rasmi kamati ya wajumbe wa  kuchangisha fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati katika Skuli za Zanzibar  katika ukumbi Ikulu ndogo Kibweni leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiizindua rasmi kamati ya wajumbe wa  kuchangisha fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati katika Skuli za Zanzibar  katika ukumbi Ikulu ndogo Kibweni leo. Tr.18/7/2016,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.