WATAALAMU
kutoka kampuni ya Guangzhou Jrage Athletic Facilities Co.LTD ya nchini China,
wakiweka levuli ya kwanza ya Raba ya kukimbilia (Tatani) katika uwanja wa
gombani.
WATAALAMU
kutoka kampuni ya Guangzhou Jrage Athletic Facilities Co.LTD ya nchini China,
wakiweka levuli ya kwanza ya Raba ya kukimbilia (Tatani) katika uwanja wa
gombani.
AFISA
Mdhamini wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma
Mjaja akimuonyesha Sampuli ya tatani, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wakati alipotembelea zoezi la uwekaji wa tatani
hiyo
MKUU
wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdall, akikagua zoezi la uwekaji
wa Tanani katika uwanja wa michezo gombani, kushoto ni Afisa Mdhamini Wizara ya
Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba Khatib Juma Mjaja.(
Mkuu wa Msafara wa
wataalamu wa Kampuni Guangzhou
Jrage Athletic Facilities Co.LTD ya nchini China,
Wendy Tanjianli akimfahamisha jambo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma
Majid Abdalla, wakati kagua kazi hiyo inayoendelea katika uwanja wa michezo
gombani
Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla,
akizungumza jambo wakati alipokuwa akikagua
kazi ya uwekaji wa tatani katika
uwanja wa michezo gombani.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment