Tuesday, August 30, 2016

Ajali ya Gari, Machengwe Wilaya ya Wete PembaGARI ya Abiria yenye namba za Usajili Z524 yenye ruti Chake Chake Wete, ikiwa imepata ajali na kuingia katika bonde la mpunga eneo la Machengwe Wilaya ya Wete, wakati ilipokuwa katika kazi zake na abiria wote waliokuwemo walinusurika kufa.(Picha na Zuhura Msabah, PEMBA.)

No comments:
Write Maoni