Habari za Punde

Kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Ardhi baina ya Wizara na Wananchi wa Wara Chake Chake

 Ofisa kutoka Wizara ya Kilimo Pemba, Amour Juma Moh'd, akielezea jambo kuhusu maeneo hayo yanayomilikiwa na Wizara hiyo huko katika eneo la Wara Chake Chake Pemba.

 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akionesha eneo ambalo linaweza kufanyiwa usuluhishi baina ya Wananchi na Wizara hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Salama Mbarouk Khatib, akiwa pamoja na sheha wa Shehia ya Wara , katika eneo linalolalamikiwa na Wananchi huko Wara Pemba


Ofisa mdhamini Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na  Uvuvi Pemba, Sihaba Haji Vuai, akifunguwa kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Ardhi baina ya Wizara yake na Wananchi wa Wara Chake Chake - Pemba.


Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akitowa nasaha zake kwa Viongozi wa Taasisi za Serikali Kisiwani Pemba na Wananchi wa Wara huko katika ukumbi wa Idara ya Kilimo Pemba, juu ya mgogoro wa Ardhi uliokuwepo ambao umepatiwa ufumbuzi wa makubaliano ya pande hizo mbili .
Picha na Bakar Mussa -Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.