Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar wenye asili ya India washerehekea miaka 70 ya Uhuru wa India

  Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akisalimiana na Wananchi wenye asili ya India wanaoishi Zanzibar katika maadhimisho ya kutimia miaaka 70 ya Taifa hilo iliofanyika katika Ofisi ya Balozi Mdogo wa India iliopo Migombani Zanzibar.

 Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akiipandisha Bendera ya Jamhuri ya India kuashiria kutimia miaka 70 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo.
 Wanainchi wanaoishi Zanzibar wenye asili ya India wakifurahiya kupandiswa  Bendera ya Taifa lao katika maadhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la India .
 Balozi Mdogo wa India Tek Chand Barupal akiwahutubia wananchi wa Zanzibar wenye asili ya India  waliohudhuria maadhimisho ya miaka 70 yaliofanyika Ofisi ndogo iliopo Migombani Zanzibar.
Mwananchi wa Zanzibar mwenye asili ya India Bhagwanji  Meisuria maarufu kwa jina la (MSHAMBA) akizungumza na waandishi wa habari juu ya namna ya Amani iliyopo Nchini kwa ujumla.

PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR –HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.