Friday, August 12, 2016

Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu Zanzibar Kati ya New West na Africa Magic Uwanja wa Maisara Zanzibar Timu ya Africa Migic Imeshinda kwa Vikapu 100 -- 32.

 
Kikosi cha Timu ya Mpira wa Kikapu ya New West, inayoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu kwa Timu za Wanawake iliokubali kipigo cha Vikapu 100 - 32.  
Kikosi cha Timu ya Mpira wa Kikapu ya Africa Magic iliotowa kipigo cha Vikapu 100 - 32 Dhidi ya Timu ya New West, mchezo uliuofanyika uwanja wa maisara Zanzibar.