Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania MzeeAli Hassan Mwinyi na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika hitma ya kumuombe dua Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mushawall Mwembeshauri Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakisoma hitma ya kumuombe dua Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mushawall Mwembeshauri Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wakisoma hitma ya kumuombe dua Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mushawall Mwembeshauri Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Dkt.Abeid Amani karume (kushoto)akifuatiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa,Mzee Ali i Hassan Mwinyi na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali wakitikia dua ya hitma ya kumuombea Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mushawall Mwembeshauri Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Viongozi mbali mbali walijumuika katika swala ya maiti aliyoswaliwa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi,iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(mbele) katika msikiti wa Mushawall Mwembeshauri Mjini Zanzibar na kuzikwa Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Wananchi waliobeba jeneza la mwili wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya mapinduzi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika mazishi ya Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
No comments:
Post a Comment