Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ajumuika naViongozi wa Siasa na Wananchi wa Zanzibar katika Mazishi ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Pili Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Jaji Mkuu wa Zanzibar akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi wakati wa maziko hayo yaliofanyika katika makaburi ya nyumbani kwake migombani Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. 
Waziri Mkuu Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowasa akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. 
Makamu wa Kwanza Mstaaf wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiweka mchanga katika kaburi la mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika makaburi ya nyumbani kwake migombani Zanzibar. 
Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Omar Saleh Kabi akiweka mchanga katika kaburi la marehemu mzee Aboud Jumbe Mwinyi. 
Muwakilishi ya Familia ya Marehemu akiweka mchanga kwa niaba ya familia katika kaburi la mzee wao wakati wa mazishi hayo yaliofanyika katika viwanja vya nyumbani kwao migombani Zanzibar. 
Muwakilishi wa Mabalozi wa Tanzania akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Abdurahamani Kinana akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
 Katibu Kiongozi wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano akiweka mchanga katika kaburi. 
Wananchi wakishiriki katika kuweka mchanga kaburi la Marehemu Mzee Aboud Jumbe kataka makaburi ya nyumbani kwake migombani Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.