Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo akiikagua timu ya Kitope United kwenye mashindano yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali Zanzibar Welfare and Drug abuse (Zaweda) huko Kitope
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo akiikagua timu ya Coastal ya Upenja kwenye mashindano yaliyoandaliwa na Zaweda huko Kitope
Mgeni rasmi, Waziri wa habari, utamaduni na Micheza Mhe Rashid akitabasamu wakati akifuatilia kwa makini mashindano ya fainal ya Mpira wa Miguu kati ya Kitope Inited na Coastal ya Upneja. Timu ya Upneja illbuka kidedea kwa kuifunga Kitope United 2-0. Kulia ni mwakilishi wa Jimbo la Kiwengwa, BI Asha na kushoto nio Mbunge wa jimbo hilo ndugu Khamis
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo akimpa zawadi ya jezi kapteni wa timu ya Kitope United.Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo akimpa zawadi ya jezi kapteni wa timu ya Kitope United.
Mwakilishi wa jimbo la Kiwengwa, Bi Asha akizungumza machache kuwashukuru wadhamini wa mashindano hayo Zaweda , Waziri pamoja na timu zilizoshiriki katika mashindano hayo
Mbunge wa jimbo la Kiwengwa , Ndugu Khamis akizungumza machache kuwashukuru wadhamini wa mashindano hayo Zaweda , Waziri pamoja na timu zilizoshiriki katika mashindano hayo
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo akimkabidhi kombe la Ushindi kapteni wa timu ya Coatal ya Upenja baada ya kuwanyuka Kitope United katika mashindano yaliyodhaminiwa na Zaweda
Wachezaji wa Timu ya Coastal ya Upenja wakifurahia ushindi wao
No comments:
Post a Comment