Habari za Punde

Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora Watembelea Mradi wa Ujenzi Nyumba za Kisasa za ZSSF Mbweni Zanzibar.

Meneja Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF )Ndg Khalifa Muumin, akitowa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa huko mbweni Zanzibar wakati wa ziara ya Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora, wakifanya ziara hiyo kujionea hali ya maendeleo ya Uchumi wa Zanzibar katika Sekta ya Uwekezaji kwa Jamii.    
Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora wakimsikiliza Ndg Khalifa Muumin akitowa maelezo ya Mradi huiu wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa Wananchi, zinazojengwa na Mfuko huo.   
Meneja Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  (ZSSF) Ndg Khalifa Muumin, akiwaonesha baadhi ya majengo yanayojengwa katika eneo hilo la Uwekezaji kwa Mfuko huo. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.