Mwakilishi wa jimbo la Tunguu, Mheshimiwa Simai
Mohammed Said (Mpakabasi) akijiandaa kutoa ripoti ya A
Parliamentary Agenda for economic transformation in Africa
through access to affordable and clean energy in Africa by
the year 2030 nchini Mauritius ambapo yupo pamoja
ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 47 wa Umoja wa
Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afirika
(CPA African Region).
Mkutano huo ulianza Agosti 22 na kumalizika Agosti 27
No comments:
Post a Comment