MATANGAZO MADOGO MADOGO

Monday, August 29, 2016

Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Hoteli za Kitalii Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akimsikiliza Meneja wa Hoteli ya Kitalii ya Blue Bay wakati wa ziara yake kutembelea na Maofisa wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar kutembelea Mahoteli ya Nyota Tano yalioko Zanzibar. 
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar akimsikilia Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk Ahmada wakati wa ziara yao kutembelea mahoteli mbalimbali Zanzibar. kuona ufanisi wa hoteli hizo katika kutowa huduma kwa Wateja wao na Jamii katika maeneo husika kutoa fursa ya ajiri kwa Wanakijiji(Picha na Mohammed Said).