MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, September 10, 2016

Breaking News: Tetemeko la ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera

Tatemeko la ardhi limetokea mkoani Kagera leo mchana na kuacha wakazi wa mkoa huo katika hari ya taaruki. Kwa taarifa za mwanzo zinasema nyumba nyingi zimebomoka na hata nyingine kuachwa na nyufa. Kwa Taarifa kamili inakuijia hivi punde