Habari za Punde

Dk Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili Rais

 Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Uwekezaji Mhe,Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili Rais  Nd,Joseph Abdalla Meza wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 uliofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili Rais  katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 uliofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif  Ali Iddi,[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili Rais  katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 uliofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.