Habari za Punde

Dk Shein akutana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora


Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe,Said Hassan Said (kulia) akiwa na Viongozi wengine wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora   katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020 katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.

Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM  mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.