Karafuu ambazo zimekamatwa zikipakuliwa kwenye gari la ZSTC,baada ya kufikishwa kituoni Wete
Karafuu ambazo zimechanganywa na makonyo ambazo zimekamatwa , zikiwa ndani ya Ungo.
Karafuu ambazo zimechanganywa na makonyo zikiwa zinacahakachuliwa na Wachukuzi wa ZSTC ,Wete.
Mjumbe wa Bodi wa Jumuiya ya Wazalishaji Karafuu Zanzibar, Moh'd Annad Moh'd , akizungumza na Waandishi wa Habari huko ZSTC Wete, mara baada ya kufikishwa Karafuu zilizokamatwa.
Mpasishaji wa Karafuu katika kituo cha ZSTC Wete, akisimaulia alivyopasisha Karafuu ambazo zimekamatwa zikiwa zinataka kusafirishwa magendo na alivyozikuta na mchanganyiko wa Makonyo .
Karafuu ambazo zimekamatwa zikiwa zimechanganywa na makonyo , zikiwa katika kituo cha ZSTC Wete.
No comments:
Post a Comment