Habari za Punde

Dk.Shein akutana na Wizara ya Afya na Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
 Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Wizara ya Afya wakiwa katika mkutano wa siku moja kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika   ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
 Katibu Mkuu wa  Wizara ya Afya Dkt.Juma Malik Akil akifafanua jambo katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (kushoto) Naibu Waziri Harusi Said Suleiman na (kulia) Naibu Katibu Mkuu Nd,Halima Maulid Salum,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
 Mshauri wa Waziri wa Afya Dkt.Mohamed Jidawi (kushoto) akichangia wakati wa Mkutano wa siku moja wa Wizara ya Afya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuhusu mpango wa Utekelezaji Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM  kwa Kipindi cha mwaka 2015-2020,uliofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa Afya Mhe,mahmoud Thabit Kombo na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dkt.Jamala Adam Taib (katikati)[Picha na Ikulu.] 05/09/2016
 Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Dkt,Abduhamid Yahya Mzee (kulia) akitoa mchango wake wakati Mkutano wa siku moja wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa Utekelezaji Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa Kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,(katikati) Waziri wa Afya Mhe,mahmoud Thabit Kombo na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dkt.Jamala Adam Taib (kulia)[Picha na Ikulu.] 05/09/201605/09/2016.
 Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Bakari Haji Bakari (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bisahara la Taifa ZSTC Dkt.Said Seif Mzee wakiwa katika mkutano wa siku moja uliozungumzia mpango wa Utekelezaji Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa Kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM  katika kipindi cha mwaka 2015-2020,   mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.