Habari za Punde

Kutoka Maktaba

Rais wa Kwanza Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Aman Karume akiongea na wageni Ikulu Zanzibar mwaka 1970. 
Kutoka kulia mwanzo ni Katibu msaidizi wake Mzee Mohammed Said Mohammed  na anayefuata ni Amani Abeid Karume ambae ni mtoto wa Mzee Karume na baade alikuja kuwa Rais wa awamu ya sita ya Zanzibar .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.