Habari za Punde

Rais Dk Shein aongoza Baraza la Eid el Hajj, Mkanyageni Pemba

 Vijana wa Madrasa wakisherehesha sikukuu ya Eid El Hajj wakati sherehe za baraza la El Idd lililofanyika leo katika skuli mpya Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wananchi wa Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, ukiongozwa na Mapikipiki ukiingia katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Maalim Haroun Ali Suleiman leo mara alipowasili katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisimama katika jukwaa maalum kupokea salamu ya heshma ya kikosi cha Gwaride la FFU Pemba mara alipohudhuria katika  sherehe za Baraza la Eid El Hajj,lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Kikosi cha jeshi la Polisi FFU Pemba wakitoa  salamu ya heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, wakati alipohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Baadhi ya Akina Mama wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake  kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 Mke wa Rais   wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi wakisikiliza hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo katika  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.