Habari za Punde

Mwaathirika wa ajali ya Gari Pemba


Kumradhi kwa picha kama utaziona zinasikitisha 

MTOTO Jokha Amour Kombo (11) mwanafunzi wa darasa la nne skuli ya Makangale, akiwa amelazwa hospitali ya Chakechake, baada ya kupata ajali ya gari wakati wakienda harusini na kisha yeye kumwagiwa na chai na kumuunguza sehemu ya kifuani na tumboni, kwa sasa anaendelea vizuri, huku kwa yeyote mwenye mchango awasiliane na baba yake kwa namba 0772-719805 (Picha na Omar Hassan, Pemba)


BABA mzazi wa mtoto Jokha, Amour Kombo Amour mkaazi wa Makangale akizungumza na waandishi wa habari, katika hospitali ya Chakechake, alipolazwa mwanawe, aliepata ajali ya gari wakati wakienda harusini Wesha wilaya ya Chakechake na kupata ajali eneo la Birikau, (Picha na Omar Hassan Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.