Habari za Punde

Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saad Azungumza na Waandishi wa Habari Kuhusiana na Harambee ya Kuchangia Jengo la Kumbukumbu ya Siti Zanzibar.

 
Mchoro wa Jengo la Kumbukumbu ya Taasisi ya Siti Bint Saada linalotarajiwa kujengwa katika Eneo la Fumba Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saada Bi Nasra akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Harambee ya Ujenzi wa Jengo la Historia ya Msanii wa Zanzibar Siti Bint Saad, linalotarajiwa kujengwa katika eneo la Fumba Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Siti Bint Saada Bi Nasra akionesha mchoro wa jengo la Taasisi ya ya Kumbukumbu ya Siti Bint Saada kwa waandishi wa habari Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo kikwajuni Zanzibar.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa kutoa taarifa ya ujenzi wa Jengo la Kumbukumbu ya Siti Bint Saada.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.