Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Msaada kwa Masjid Salama Maungani Zanzibar

Afisa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Mohammed Nuhu akimkabidhi msaada wa Mabati Imamu wa Masjid Salama Maungani Zanzibar Sheikh, Hasaan Khamis Mselemu kwa ajili ya kuezekea Masjid hiyo. hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya Masjid hiyo huko Maungani Zanzibar. 
Jengo jipya la Masjid Salama Maungani Zanzibar linahitaji Msaada wako kukamilisha ujenzi wake na kuanza kutoa huduma ya Ibada kwa Waumini ya Dini ya Kiislam. Zanzibar. 
Mjumbe wa Kamati ya Ujenzi wa Masjid Salama Maungani Ali Uki akitowa maelezo ya ramani ya ujenzi wa masjid huo kwa Maofisa wa PBZ walipofika kukabidhi msaada wa mabati kwa ajili ya kuezekea hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya masjidi hiyo maungani
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.