Habari za Punde

Dk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi


 Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakiwa katika  mkutano wa  siku moja unaozungumzia  Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Waziri waKilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid  Mohamed,akifuatiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahaya Mzee,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016
Baadhi ya Wakurugenzi katika Idara mbali mbali za Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakiwa katika  mkutano wa  siku moja unaozungumzia  Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
 Waziri wa Wizara wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid  Mohamed (katikati) akisoma taarifa ya  utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao  cha robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo   Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Lulu Msham Abdalla,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugu na Uvuvi Nd,Juma Ali Juma akitoa ufafanuzi  wa vifungu  wakati  wa kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa   mwaka 2016-2017 katika  Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugu na Uvuvi katika  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto)[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakati wa  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.