Habari za Punde

Kipindi maalum: Chanzo cha mparaganyiko wa kimaadili katika jamii zetu

Sikiliza kipindi maalum kinachozungumzia maadili katika malezi ya wazee wetu wa zamani na vijana wetu wa leo,vipi ndoa za zamani zilivyokua zikifanyika pamoja na sabubu za kudumu hali ambayo ni kinyume na wakati huu ambapo ndoa nyingi zimekua zikikatika katikati.Jee unajua sababu,sikiliza kipindi hiki kinachoongozwa na Salmin Juma -Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.