Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Afungua Jengo la Madrasa ya Skuli ya Maandalizi Junguni Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi Ujenzi wa madarasa mapya  ya Maandalizi  katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya wanafunzi wa Maandalizi wakiwa na Walimu wao katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf,ambapo  yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba  leo,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Wananchi wa Shehia za Gando wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba  leo,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Wasoama Utenzi Raya Rashid (kulia) na Fatma Hassan Mshindo wakitoa burudani  ya utenzi wao mbele ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa kusherehekea    Uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo
Wananchi waliohudhuria  katika sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakifuatilia na kusikiliza nasaha mbali mbali zilizotolewa katika sherehe hiyo
Wanafunzi wa Maandalizi wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuyazindua madarasa yao leo katika Skuli ya Gando Wilaya yaWete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo Kisiwani Pemba,
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd,Abdalla Joseph Meza akisoma taarifa ya Ujenzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati wa sherehe maalum ya uzinduzi uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa  Kaskazini Pemba kwa masaada wa Tassaf na kuzinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kakskazini Pemba
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Gando wakiwa wamejumuika katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya maandalizi yaliyojengwa kupitia Tassaf yamezinduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo Mikoa ya Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,hati maalum ya kukamilisha Ujenzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati wa Uzinduzi wa Rasmi wa Madarasa hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa jengo la madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia)  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,na (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara bMaalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir na Mwakilishi wa Tassaf Tanzania Faraji Mishael
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 06/11/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.