Habari za Punde

Viongozi wa mabaraza matano ya vijana wilaya ya Mkoani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa mada juu ya ‘kuwahamasisha vijana kujenga utamaduni wa kushiriki na kushirikishwa katika furasa za demokrasia zilizopo nchini’, mafunzo hayo yametayarishwa na Jumuia ya Ustawishaji wa zao la karafuu na viungo Pemba, JUKAVIPE na kufanyika NgwachaniViongozi wa mabaraza matano ya vijana wilaya ya Mkoani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa mada juu ya ‘kuwahamasisha vijana kujenga utamaduni wa kushiriki na kushirikishwa katika furasa za demokrasia zilizopo nchini’, mafunzo hayo yametayarishwa na Jumuia ya Ustawishaji wa zao la karafuu na viungo Pemba, JUKAVIPE na kufanyika Ngwachani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.