Habari za Punde

Wasaidizi wa Sheria Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kisheria.

Kadhi wa rufaa Pemba sheikh Daud Khamis Salim, akiwasilisha mada ya ufafanuzi wa sheria ya mahakama ya kadhi ya mwaka 1985, kwa wasaidizi wa sheria wa majimbo ya Pemba, mafunzo hayo yameandaliwa na ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika Wesha Chakechake
Wasaidizi wa sheria wa majimbo kadhaa ya Pemba, waliohitimu mafunzo ya kutoa msaada wa kisheria kwa awamu ya kwanza na ya pili, wakifuatilia mafunzo ya kuwakumbusha sheria za Zanzibar, mafunzo hayo yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba na kufanyika Wesha nje kidogo ya mji wa Chaechake

Msaidizi wa sheria Jimbo la Mkoani, Nassor Hakim Ali akielezea jinsi baraza la vijana Zanzibar lilivyoonyesha kuathiriwa na siasa, kwenye mafunzo ya kuwakumbusha sheria za Zanzibara wasaidizi wa sheria, kwenye mafunzo yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba na kufanyika Wesha Chakechake
Msaidizi wa sheria Jimbo la Kiwani Juma Mussa akiuliza suali kwenye mafunzo ya kuwakumbusha sheria za Zanzibara wasaidizi wa sheria, kwenye mafunzo yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba na kufanyika Wesha Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.