Habari za Punde

Msingi Alouweka Kocha Malale Hamsini Hayajavunjika Katika Timu ya JKU.

Mzunguko wa kumi na tano wa ligi kuu ya soka Zanzibar kwa viwanja vya Unguja ulimalizika jioni ya leo huku klabu ya JKU ikizidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo.

Kikosi hicho ambacho kila mmoja akiwa bado anajiuliza ni kwanini hawatajwi kujumuishwa kwenye kombe la Mapinduzi la mwaka 2017 kinaonekana kuwa mwiba kwa vilabu wenzake wa Zanzibar.

Hebu fuatilia msimamo wa ligi hiyo uone jinsi msingi wa kocha Malale Hamsini Keya unavyozidi kuimarika.
  
                       MSIMAMO LIGI KUU YA SOKA ZANZIBAR  (UNGUJA) 2016-2017
POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
JKU
15
12
3
-
28
8
20
39
2
JANG’OMBE
15
7
7
1
21
13
8
28
3
POLISI
15
7
6
2
19
8
11
27
4
ZIMAMOTO
15
7
6
2
20
12
8
27
5
TAIFA J/MBE
15
6
5
4
14
13
1
23
6
MUNDU
15
7
2
6
17
24
-7
23
7
KMKM
15
6
3
6
18
11
7
21
8
MAFUNZO
15
6
3
6
20
15
5
21
9
KILIMANI CITY
15
6
3
6
13
20
-7
21
10
CHWAKA
15
5
5
5
12
14
-2
20
11
CHUONI 
15
4
7
4
13
12
1
19
12
B/ SAILOR
15
4
7
4
13
14
-1
19
13
KVZ
15
4
4
7
11
13
-2
16
14
MIEMBENI
15
4
4
7
12
18
-6
16
15
KIJICHI
15
3
5
7
14
17
-3
14
16
KIPANGA
15
4
2
9
14
18
-4
14
17
MALINDI
15
4
2
9
7
16
-9
14
18
KIMBUNGA
15
1
2
12
11
32
21
5
Jumla ya mabao 277yamefungwa kupitia michezo 135      

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.